Mafunzo ya shulewise
Walimu wakuu/Admin
Walimu wakuu/Admin
Fomu za muhimu za kudownload
Pakua fomu na dokumenti muhimu ambazo zinatumika hapa, Excell position , Student registration , employee registration
1. Ingia (login) kwenye akaunti
Fahamu namna ya kuingia kwenye akaunti yako ya shulewise kama umepata tayari username na password kupitia email, pia angalizo kwa watumiaji wa kompyuta moja ANGALIA >
2. Reset password au username
Fahamu namna ya kubadili password au username mara tu baada ya kuingia kwenye akaunti yako ya shulewise ANGALIA >
3. Edit profile yako
Fahamu namna ya kuongeza au kurekebisha taaarifa zako katika akaunti yako ya shulewise kupitia kipengele cha profile kwenye akaunti yako ANGALIA >
4. Roles vs Designation
Fahamu utofauti wa accounti roles (aina za akaunti) na designation/vyeo kwenye mtandao wa shulewise ANGALIA >
5. Badili academic session
Badili mwaka wa masomo au muhula, pindi unapoanza mwaka wa masomo au muhula mpya ANGALIA >
6. Department na Designation
Jaza taarifa za idara/department na Designation/vyeo vilivyopo katika taasisi yako ya elimu ili kuanza kuwasajili watumishi ANGALIA >
7. Add employee
Sajili mtumishi mwingine mfano mwalimu, mhasibu n.k kwenye mtandao wako ANGALIA >
8. Add employee by mutiple import
Sajili mtumishi au watumishi wengine mfano walimu, wahasibu n.k kwenye mtandao wako kwa njia ya ku-import excell faili ANGALIA >
9. Badili password ya mtumishi yeyote
Namna ya kubadili password ya akaunti ya mtumishi yeyote yule kama kasahau au kuzuia asiingie tena ANGALIA >
10. Funga akaunti ya mtumishi yeyote
Namna ya kufunga/deactivate akaunti ya mtumishi yeyote bila kuifuta(delete), asiweze kuingia tena na namna ya kuirudisha akaunti yake ANGALIA >
11. Seti classes na assign class teacher
Namna ya kuweka madarasa na kuseti mwalimu wa darasa kwa kila darasa ANGALIA >
12. Spidi ya mtandao
Fahamu namna ya kuweka mtandao wako uwe na spidi ya haraka ANGALIA >
13. Seti subjects na assign subjects
Orodhesha masomo na seti masomo gani yanafundishwa darasa gani kwenye Academic tab ANGALIA >
14. Seti class timetable
Seti ratiba au timetable ya kila section ya kila darasa ANGALIA >
15.Seti Transport 1 (usafiri)
Njia nzuri ya kuseti usafiri wa wanafunzi kama vituo na gharama za usafiri kwa kila kituo kwenye Tab ya supervision ANGALIA >
16. Seti Transport 2 (usafiri)
Njia nzuri ya kuseti usafiri wa wanafunzi kama vituo na gharama za usafiri kwa kila kituo kwenye Tab ya supervision ANGALIA >
17. Seti hostel (mabweni)
Njia nzuri ya kuseti mabweni/malazi ya wanafunzi kwa kuseti vyumba na mabweni kwenye tab ya supervision ANGALIA >
18. Taarifa ya admission
Taarifa ya kuanza kuingiza wanafunzi na taarifa zao kwa shule zinazoanza kutumia mtandao wa shulewise ANGALIA >
19. Create admission
Ingiza taarifa za wanafunzi na kutengeneza akaunti zao kwa njia ya create admission ANGALIA >
20. Online admission
Pata taarifa za wanafunzi na kuziingiza taarifa zao katika mtandao wako ili kutengeneza akaunti zao pia kwa njia ya wanafunzi kujaza fomu ya mtandaoni ANGALIA >
21. Admission by multiple import 1
Njia ya kuingiza taarifa za wanafunzi katika mtandao wako kwa kutumia faili ya excell yenye taarifa za wanafunzi pia na wao watengenezewe akaunti zao ANGALIA >
22. Admission by multiple import 2
Njia ya kuingiza taarifa za wanafunzi katika mtandao wako kwa kutumia faili ya excell yenye taarifa za wanafunzi pia na wao watengenezewe akaunti zao part 2 ANGALIA >
23. Leave (Likizo & Ruhusa)
Seti ruhusa na likizo, kwa watumishi na wanafunzi waweze kuomba ruhusa na likizo kutumia akaunti zao ANGALIA >
24. Payroll 1
Weka kumbukumbu za malipo ya watumishi baada au kabla ya malipo kufanyika ANGALIA >
25. Payroll 2
Weka kumbukumbu za malipo ya watumishi baada au kabla ya malipo kufanyika ANGALIA >
26. Payroll 3 & leave report
Weka kumbukumbu za malipo ya watumishi baada au kabla ya malipo kufanyika,& ripoti ya ruhusa na likizo ANGALIA >
27. Advance salary
Pokea na jibu maombi ya mshahara kabla ya tarehe ya malipo ANGALIA >
28. Awards
Tunza taarifa za zawadi zilizotolewa au zitakazotolewa kwa watumishi au wanafunzi ANGALIA >
29. Attendance 1
Jinsi ya kuchukua maudhurio ya wanafunzi na watumishi ANGALIA >
30. Attendance 2 & Attendance report
Chukua maudhurio ya mitihani na kuangalia ripoti ya maudhurio ANGALIA >