Siza za shulewise

Fahamu sifa zilizopo kwenye programu ya shulewise
shulewise teachers

walimu/wamiliki

 • Pata tovuti ya taasisi ya elimu itakayokua hewani mda wote
 • Ruhisisha maombi ya kujiunga na taasisi kupitia tovuti ya taasisi
 • Tunza taarifa na nyaraka za wanachuo kwenye mtandao wa taasisi
 • Andaa mitihani na matokeo ya wanafunzi kwa dakika tu
 • Andaa na tunza malipo ya walimu (payroll)
 • Tuma sms au email kwa walimu/wazazi /wanachuo wote kwa sekunde
 • Rahisisha makusanyo ya mapato kama ada na michango ya wanachuo
 • Tunza kumbukumbu ya siku muhimu za matukio yako kama mitihani
 • Toa kazi za nyumbani kwa wanafunzi (homework) kwa mtandao
 • Andaa na rahisisha mapato ya usafiri wa taaisis ya elimu
 • Andaa na rahisisha mapato ya mabweni/hostel za taaisis ya elimu
 • Rahisisha utoaji na upokeaji wa vitabu kwenye maktaba/library
 • Kusanya maudhurio ya wanachuo au walimu kila siku
 • Tunza risiti,mitihani na nyaraka mbalimbali mtandaoni
 • Andaa na rahisisha malipo ya kila mwalimu/mkufunzi kila mwezi
 • Andaa vyeti na vitambulisho vya walimu au wanachuo kirahisi
 • Rahisisha maombi ya ruhusa ya wanachuo au walimu kwa njia ya mtandao
 • Andaa mitahani na matokeo yake kirahisi
 • Weka video za mafunzo ili wanafunzi wajifunze kwa mtandao mda watakao
 • Wakumbushe wazazi malipo ya ada na gharama kabla ya tarehe ya malipo
 • Andaa ripoti ya mwanachuo/mwalimu au wote kwa pamoja kwa mda mfupi
 • Rahisisha shughuli za ofisi ya mapokezi kama barua, na wageni
 • Andaa mitaala na ratiba ya kila darasa ili kuendana na wizara ya elimu
 • Uhakika wa taarifa za taasisi popote ulipo kwa mtandao au android app
 • Tuma tangazo au taarifa kwa walimu wote au wanachuo kwa haraka
 • Tunza taarifa za upokeaji,ununuaji na utoaji wa mali za taasisi
 • Usijali wala kuwaza, kopi ya taarifa zako zinatunzwa kila siku,
shulewise wanafunzi features

wanafunzi

 • Jaza maombi ya kujiunga na chuo mtandaoni kwa tovuti bila kufika shuleni
 • Rekebisha taarifa zako zilizojazwa na mwalimu kwenye akaunti yako
 • Angalia matokeo ya mtihani kwenye akaunti ya mwanafunzi
 • Fahamu ada na michango ya shule/chuo unayodaiwa kupitia akaunti
 • Fahamu orodha ya vitabu ulivyoazima, siku uliyoazima na siku ya kurudisha
 • Angalia taarifa za ada ulizolipa na unazodaiwa kwenye akaunti ya mwanachuo
 • Weka na pakua nyaraka mbalimbali za muhimu kama risiti za malipo
 • Angalia taarifa ya maudhurio yako kila siku kwa mwezi mzima
 • Lipia ada kwa njia ya mtandao (online) au kwa kawaida na ambatanisha risiti
 • Angalia na fanya kazi ya nyumbani (homework) ya mwalimu yeyote
 • Angalia matangazo na taarifa zinazotumwa na walimu na wamiliki
 • Omba ruhusa kupitia akaunti ya mwanachuo bila kufika ofisini
 • Soma mtandaoni kwa njia ya video zilizowekwa na mwalimu
 • Fahamu na angalia gharama ya bweni au hostel uliyopangiwa
 • Fahamu maendeleo ya mitaala ya masomo unayosoma na maada zake
 • Fahamu orodha ya vitabu vilivyopo maktaba na ambavyo vimesha azimwa
shulewise parents features

Mzazi/Mlezi

 • Fahamu ada na michango ya shule/chuo unayodaiwa kwa watoto wako
 • Lipia ada au michango ya watoto kwa njia ya mtandao au kawaida
 • Angalia matokeo ya mtihani au mitihani ya mtoto au watoto wako
 • Omba ruhusa shuleni/chuoni ya mtoto au watoto wako bila kufika ofisini
 • Weka na pakua nyaraka mbalimbali za muhimu kama risiti za malipo
 • Pata taarifa ya sms ya kupokea ada na gharama mbalimbali kutoka kwa taasisi mara tu mwanachuo au mwanafunzi alipapo.
 • Fahamu orodha ya vitabu vilivyopo maktaba na ambavyo vimesha azimwa
 • Pata taarifa ya sms pindi mwanafunzi ajafika shuleni
 • Fahamu maudhurio ya mtoto au watoto wako kila siku
 • Tuma maombi ya ruhusa ya mwalimu kwa mtandao
 • Angalia gharama za malazi kutokana na bweni alilopangiwa mtoto
 • Pata taarifa ya kutoka kwa matokeo ya mtihani kwa sms au email
 • Angalia matangazo ya walimu kwa walezi au wazazi papo hapo
 • Angalia kazi za nyumbani (homework) anazopewa mtoto na matokeo yake
 • Pata taarifa za kukumbusha malipo ya ada n.k  kwa sms au email
 • Angalia maendeleo ya mitaala na mada zinazopaswa kufundishwa
 • Angalia ratiba ya vipindi vya mtoto wako siku zote za wiki

Jaribu bure kwa miezi 3 ujionee

Jaribu sasa