Jaribu shulewise bure

Pata huduma ya shulewise kwa miezi 2 bure ukijaribu matumizi yake

Vigezo & masharti

  1. Uwe na taasisi ya elimu iwe chuo,shule au nursery
  2. Toa taarifa za taasisi yako na mawasiliano ili kufanikisha kuseti huduma yetu, kwa kujaza fomu 
  3. Utajaribu shulewise ikiwa na sifa zote, ijapokua gharama za shulewise zinatofautiana kulingana na vifurushi ingawa vifurushi havitofautiani sana ni matumizi ya sms tu ndio yanatofautisha
  4. Kuseti na kujaribu shulewise ni bure ukitumia jina letu, ila kama unahitaji kwa jina lako (domain name),chagua jina langu kwenye fomu nasi tutawasiliana nawe upate jina lako la tovuti na kuseti mtandao kwa jina lako. Tunashauri kama huna tovuti uchangue jina lako, ili kuepusha mchakato wa kuanza kuhamisha taarifa zako kutoka kwenye jina letu kwenda kwenye jina lako mbeleni endapo utaridhia kuanza kulipia huduma. 
  5. Baada ya miezi 2 ya kujaribu kuisha, utachagua Kusitisha au kuendelea kutumia kwa kulipia

Fomu ya maombi

Kifurushi cha kujaribu
Jina la majaribio