Endesha taasisi ya elimu kidijitali uongeze ufanisi

Rahisisha & Endesha taasisi ya elimu kidijitali uongeze ufanisi

Ondoa adha na hasara za utumiaji wa mafaili na makaratasi mashuleni kwa matumizi ya programu ya shulewise sasa
Jaribu bure
shule shulewise school management system

SHULEWISE

Wahusika wote wa taasisi ya elimu

Vipengele (module) vya wadau wote wa taasisi ya elimu

Walimu

Andaa masomo, kazi na marks za wanafunzi au wanachuo wa shule au taasisi ya elimu kwa urahisi zaidi

fahamu zaidi

Wazazi

Pata taarifa za mtoto wako kama maudhurio, matokeo, ada kwa email na tovuti ya mtandaoni mda wowote.

FAHAMU ZAIDI

Wanafunzi

Pata taarifa za masomo kama matokeo, ada na taarifa za shule au chuo kupitia simu yako na tovuti mda wote.

FAHAMU ZAIDI
6+

Shule shiriki

0+

Maktaba shiriki

0+

Vyuo shiriki

shulewise shule management system

Tunza kumbukumbu za wanachuo mtandaoni

Walimu, wakunfunzi au wamiliki wa shule au chuo wanaweza tunza kumbukumbu za wanafunzi mtandaoni, kuziona, au kurekebisha mda wowote kupitia tovuti au app hivyo kuwa na uhakika wa taarifa.
Jaribu bure

Andaa matokeo ya shule au chuo

Walimu, wakufunzi au wamiliki wa shule au chuo huweza andaa matokea kutumia shulewise na kuyatuma moja kwa moja kwa wazazi au walezi wa wanafunzi au wanachuo papo hapo.
Jaribu bure
shule

Rahisisha mawasiliano ya walimu,wazazi & wanafunzi

Tuma taarifa au ujumbe baina ya wazazi na walimu, walimu kwa walimu au walimu kwa wanafunzi kwa sms au email 
Jaribu bure

Rahisisha Mapato na matumizi ya taasisi

Kusanya ada za wanachuo au wanafunzi na mishahara ya walimu wa taasisi ya elimu na tunza kumubukumbu zao kwa kutumia kipengele (module ) ya accounting kwenye shulewise .
Jaribu bure
shule
shule management by shulewise

endesha shughuli za maktaba (library)
kwa ufanisi na urahisi

Tunza kumbukumbu ya vitabu, wanachuo walioazima vitabu na kuruidisha au waliobado kurudisha, na vitabu vilivyopo kwa mda huo
Jaribu bure

Tunza taarifa za mabweni (hostel)

Tunza taarifa za mabweni (hostels) kwa taaisisi zenye wanafunzi wa kulala, ili kufahamu namba ya bweni, chumba na kitanda cha kila mwanachuo .
Jaribu bure
shule

Fahamu sifa/kazi zaidi ya shulewise

Nifahamu Sifa zaidi

Vipengele vyote vya taasisi ya elimu

Shulewise ina vipengele (module) vyote vinavyohusiana na taasisi ya elimu ili kuongeza ufanisi na kuokoa mda

Mwanafunzi

Tunza kumbukumbu na taarifa za mwanafunzi au mwanachuo mda wote kwenye mfumo wa shulewise
Soma Zaidi >

Matokeo

Andaa matokeo ya wanachuo kwa urahisi na yaweke kwa mtandao ili wazazi na wanafunzi wayaone
Soma Zaidi >

Email

Tuma ujumbe wa email kwa wazazi au walezi kutoa taarifa ya yoyote ya shule mfano matokeo kutoka
Soma Zaidi >

Sms

Tuma ujumbe wa sms kwa wazazi au walezi au wanafunzi kutoa taarifa muhimu yoyote ya shule
Soma Zaidi >

Uhasibu

Rahisisha ukusanyaji wa ada na malipo mbalimbali ya taasisi kwa kutumia kipengele cha accounting
Soma Zaidi >

Usafiri

Rahisisha makusanyo ya malipo ya usafiri wa taasisi kwa wanafunzi watumiao magari ya chuo au shule
Soma Zaidi >

Tovuti/Website

Fanya chuo au shule ipatikane kwa njia ya mtandao kwa mfumo watovuti ili kutoa taarifa kwa watu mda wote
Soma Zaidi >

Libary/Maktaba

Tunza kumbukumbu za vitabu na waazimaji wa vitabu, tarehe ya kuazima na kurudisha kwa urahisi
Soma Zaidi >

Udahili mtandaoni

Rahisisha kupokeo maombi ya waombaji wa kujiunga na taasisi kwa njia ya mtandao kwa haraka
Soma Zaidi >

Mafunzo online

Toa fursa ya wanafunzi kusoma kwa mtandao kupitia njia ya video ambazo zitawekwa na 
Soma Zaidi >

Maudhurio

Kusanya na tunza maudhurio ya kila mwanachuo kila siku kwa manufaa ya kitaaluma
Soma Zaidi >

Malipo kwa walimu

Rahisisha malipo na kumbukumbu za malipo ya kila mwalimu kwa kila mwezi kupitia shulewise
Soma Zaidi >

Tunza mitaala

Tunza mitaala ya kila somo kwa kila darasa ili kuendana na mabadiliko ya mtaala mara yanapotokea
Soma Zaidi >

Vitambulisho

Tengeneza vitambulisjho kwa kila mwalimu/mwanachuo kiurahisi iwe ni kwa ajili ya mitihani au kawaida
Soma Zaidi >

Vyeti

Andaa na tengeneza vyeti vya uhitimu wa kozi yeyote kwenye taasisi ya elimu na kuprinti
Soma Zaidi >

Vifaa

Tunza idadi ya vifaa vya taasisi, vilivyopo, vilivyotumika na vinavyoongezwa wakati wowote
Soma Zaidi >

Ruhusa

Rahisisha uombaji wa ruhusa kwa wanachuo au walimu kwa njia ya mtandao hivyo kupunguza vikwazo
Soma Zaidi >

Walimu maudhurio

Chukua maudhurio ya kila mwalimu na tunza taarifa izo kwa matumizi ya kuongeza ufanisi kitaaluma
Soma Zaidi >

Ripoti

Toa na andaa ripoti yeyote kuhusu mwanafunzi kama maudhurio, ufaulu,mapato na matumizi, n.k
Soma Zaidi >

Android app

Kuwa huru kuweka na kuangalia taarifa zako pale hauna komputa kwa kutumia simu kupitia shulewise app
Soma Zaidi >

Uhakika wa taarifa

usiwaze wala kuhofu, siku ikitokea changamoto, kopi ya taarifa zako (backup) zinawekwa google kila siku
Soma Zaidi >

Maswali & majibu (FAQS)

Kuhusu shulewise

 • Je naweza jaribu programu ya shulewise bure bila malipo

  Ndiyo, programu ya shulewise tunatoa miezi 3 bure kujaribu huduma yetu, jaza fomu hii ili uweze jaribu bure sasa.

 • Nahitaji vitu gani niweze pata huduma ya programu ya shulewise

  Kompyuta iliyounganishwa na internet ni vitu muhimu viwili vinavyoitajika ili uweze kupata huduma ya shulewise, tunatoa ushauri  bure kuhusu vitu hivyo

 • Je gharama gani kutumia program ya shulewise

  Miezi 3 ya kwanza ni bure kujaribu programu kwa taasisi yoyote, baada ya hapo utalipia huduma kila mwezi kulingana kifurushi utakachochagua waweza angalia vifurushi hapa Gharama

 • Je mnatoa mafunzo ya matumizi ya programu kwa watumiaji

  Ndiyo, tunatoa huduma ya mafunzo kwa njia ya video bure huku ukijifunza namna ya kutumia programu hii kwa miezi 3 ya mwanzo bila kulipia

 • Je nitapata msaada pale nitakapopata shida au kukwama

  Ndiyo, dawati la wasaidizi wapo mda wote masaa 24 siku 7 za wiki kutatua matatizo au kutoa msaada wowote wa kiufundi pale ukwamapo au kupata shida, wasiliana nasi  kwa njia za mawasiliano hapa mawasiliano

 • Siwezi poteza taarifa na kumbukumbu muhimu nitumiapo programu

  Huwezi poteza, programu inaweka kopi ya taarifa zako (backup) kila siku sehemu tofauti na mtandao wako, hivyo kwa tatizo lolote litakalotokea kopi ya taarifa zipo

 • Endapo sitaweza lipia huduma ya shulewise, taarifa zangu nitazipata

  Ndiyo, pindi huhitaji kutumia tena huduma ya shulewise tunatoa mda wa taasisi ya elimu kupakua taarifa zake zote kabla ya kufunga huduma

Uliza sasa