Siza za shulewise
Fahamu sifa zilizopo kwenye programu ya shulewise
walimu/wamiliki
- Pata tovuti ya taasisi ya elimu itakayokua hewani mda wote
- Ruhisisha maombi ya kujiunga na taasisi kupitia tovuti ya taasisi
- Tunza taarifa na nyaraka za wanachuo kwenye mtandao wa taasisi
- Andaa mitihani na matokeo ya wanafunzi kwa dakika tu
- Andaa na tunza malipo ya walimu (payroll)
- Tuma sms au email kwa walimu/wazazi /wanachuo wote kwa sekunde
- Rahisisha makusanyo ya mapato kama ada na michango ya wanachuo
- Tunza kumbukumbu ya siku muhimu za matukio yako kama mitihani
- Toa kazi za nyumbani kwa wanafunzi (homework) kwa mtandao
- Andaa na rahisisha mapato ya usafiri wa taaisis ya elimu
- Andaa na rahisisha mapato ya mabweni/hostel za taaisis ya elimu
- Rahisisha utoaji na upokeaji wa vitabu kwenye maktaba/library
- Kusanya maudhurio ya wanachuo au walimu kila siku
- Tunza risiti,mitihani na nyaraka mbalimbali mtandaoni
- Andaa na rahisisha malipo ya kila mwalimu/mkufunzi kila mwezi
- Andaa vyeti na vitambulisho vya walimu au wanachuo kirahisi
- Rahisisha maombi ya ruhusa ya wanachuo au walimu kwa njia ya mtandao
- Andaa mitahani na matokeo yake kirahisi
- Weka video za mafunzo ili wanafunzi wajifunze kwa mtandao mda watakao
- Wakumbushe wazazi malipo ya ada na gharama kabla ya tarehe ya malipo
- Andaa ripoti ya mwanachuo/mwalimu au wote kwa pamoja kwa mda mfupi
- Rahisisha shughuli za ofisi ya mapokezi kama barua, na wageni
- Andaa mitaala na ratiba ya kila darasa ili kuendana na wizara ya elimu
- Uhakika wa taarifa za taasisi popote ulipo kwa mtandao au android app
- Tuma tangazo au taarifa kwa walimu wote au wanachuo kwa haraka
- Tunza taarifa za upokeaji,ununuaji na utoaji wa mali za taasisi
- Usijali wala kuwaza, kopi ya taarifa zako zinatunzwa kila siku,
wanafunzi
- Jaza maombi ya kujiunga na chuo mtandaoni kwa tovuti bila kufika shuleni
- Rekebisha taarifa zako zilizojazwa na mwalimu kwenye akaunti yako
- Angalia matokeo ya mtihani kwenye akaunti ya mwanafunzi
- Fahamu ada na michango ya shule/chuo unayodaiwa kupitia akaunti
- Fahamu orodha ya vitabu ulivyoazima, siku uliyoazima na siku ya kurudisha
- Angalia taarifa za ada ulizolipa na unazodaiwa kwenye akaunti ya mwanachuo
- Weka na pakua nyaraka mbalimbali za muhimu kama risiti za malipo
- Angalia taarifa ya maudhurio yako kila siku kwa mwezi mzima
- Lipia ada kwa njia ya mtandao (online) au kwa kawaida na ambatanisha risiti
- Angalia na fanya kazi ya nyumbani (homework) ya mwalimu yeyote
- Angalia matangazo na taarifa zinazotumwa na walimu na wamiliki
- Omba ruhusa kupitia akaunti ya mwanachuo bila kufika ofisini
- Soma mtandaoni kwa njia ya video zilizowekwa na mwalimu
- Fahamu na angalia gharama ya bweni au hostel uliyopangiwa
- Fahamu maendeleo ya mitaala ya masomo unayosoma na maada zake
- Fahamu orodha ya vitabu vilivyopo maktaba na ambavyo vimesha azimwa
Mzazi/Mlezi
- Fahamu ada na michango ya shule/chuo unayodaiwa kwa watoto wako
- Lipia ada au michango ya watoto kwa njia ya mtandao au kawaida
- Angalia matokeo ya mtihani au mitihani ya mtoto au watoto wako
- Omba ruhusa shuleni/chuoni ya mtoto au watoto wako bila kufika ofisini
- Weka na pakua nyaraka mbalimbali za muhimu kama risiti za malipo
- Pata taarifa ya sms ya kupokea ada na gharama mbalimbali kutoka kwa taasisi mara tu mwanachuo au mwanafunzi alipapo.
- Fahamu orodha ya vitabu vilivyopo maktaba na ambavyo vimesha azimwa
- Pata taarifa ya sms pindi mwanafunzi ajafika shuleni
- Fahamu maudhurio ya mtoto au watoto wako kila siku
- Tuma maombi ya ruhusa ya mwalimu kwa mtandao
- Angalia gharama za malazi kutokana na bweni alilopangiwa mtoto
- Pata taarifa ya kutoka kwa matokeo ya mtihani kwa sms au email
- Angalia matangazo ya walimu kwa walezi au wazazi papo hapo
- Angalia kazi za nyumbani (homework) anazopewa mtoto na matokeo yake
- Pata taarifa za kukumbusha malipo ya ada n.k kwa sms au email
- Angalia maendeleo ya mitaala na mada zinazopaswa kufundishwa
- Angalia ratiba ya vipindi vya mtoto wako siku zote za wiki
- Pata ujumbe wa sms pindi mwanafunzi hayupo kwenye mtihani