Jaribu shulewise bure
Pata huduma ya shulewise kwa miezi 1 bure ukijaribu matumizi yake
Vigezo & masharti
- Uwe na taasisi ya elimu iwe chuo, shule au nursery
- Utajaribu shulewise ikiwa na sifa zote, ijapokua gharama za shulewise zinatofautiana kulingana na sifa za mfumo utakazohitaji
- Utajaribu mtandao wa shulewise ambao unataarifa zote za shule kama mwalimu mkuu, wanafunzi, walimu, mkutubi, mhasibu, mapokezi, na wazazi. Kwenye kujaribu mtandao wa shulewise sms tumezima ila vipengele vingine vyote vinafanya kazi.
- Baada ya kujaribu na ukapendelea huduma hii tuweke kwenye shule/taasisi yako wasiliana nasi.
- Taarifa za wewe kujaribu zitatumwa kwenye email iliyojazwa kwenye kipengele cha Taasisi/Mmiliki email, hivyo fungua email yako baada ya kutuma taarifa za kujaribu